Kuwa taasisi kimbilio kwa watu wote wenye changamoto za kimaisha.
Mradi Wetu unatarajia kuanza kufikia watoto na wanawake katika makundi ya wanawake yaani wafanyakazi wa sekta rasmi na zisizorasmi, mpango ni kuanzia na wilaya sita za mkoa wa Arusha.
Tumelenga kwa dhati kuisaidia serikali ya awamu ya tano ya Rais John Pombe Magufuli ya kuwaboreshea maisha na kuwawezesha wanawake na watoto.
Umoja ni Nguvu.