Tunahitaji Huduma Yako.
Dira yake ni kuwa taasisi kimbilio kwa watu wote wenye changamoto za kimaisha.
Mahitaji
Mwanzilishi wa Mradi wa Vuka Initiative Bi Veronica Ignatus alisema kuwa “Vuka Initiative” ni mradi wenye kusudi la kupunguza changamoto za ukatili na unyanyasaji wa kijinsia katika jamii. Dira yake ni kuwa taasisi kimbilio kwa watu wote wenye changamoto za kimaisha.
Pia alisema kuwa Dhima yake ni kuifikia jamii na kutatua changamoto za ukaliti na unyanyasaji wa kijinsia ambapo Motto wao unaowaongoza ni “Vuka yako, Salama yako”
Hivyo tunahitaji watu tutakaosaidiana nao wenye sifa hizi ;
- Upendo
- Uadilifu
- Uaminifu
- Uvumilivu
- Nidhamu
Sign up form
The following info is required